Monday, October 17, 2016

Gomesa Tv

Tunda Man avuta jiko

Mkali kutoka katika kundi la Tip Top Connection lenye makazi yake Kagera, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah.

Mwanamuziki huyo aliamua kufunga ndoa hiyo  siku ya  Ijumaa kwa kumfuata   mkoani Morogoro nyumbani  kwa Bi Sabrah.


Miongoni mwa wasanii ambao waliudhuria katika harusi hiyo ni member ambao wanaunda kundi hilo, na wale ambao walikuwepo ambao kwa sasa hayupo ambaye ni Kassim Mganga
Wasanii wengine walikuwepo ni  Dogo Janja, Madee na wengi.
Tunda Man akiwa na mkewe Bi Sabrah.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi