Wednesday, October 5, 2016

Mohamed Gomesa

Prof Jay kuja Prof Jay Cup

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule 'Prof Jay' anatarajia kuanzisha ligi ndogo wa mpira katika jimbo lake ambalo litaitwa Prof Jay Cup.
Na hivi ndivyo alivyoandika kupitiaTumemaliza kikao kingine cha dharura na wakazi wote wa jimbo la MIKUMI wajiandae na Profesa Jay Cup 2016 Mwisho wa mwezi huu. Semeni ndiyo mzee

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi