Thursday, October 13, 2016

Gomesa Tv

Movie ya Stan Bakora na Baraka Da Prince yawa chungu

Kama ni Kiki basi kila mmoja atakuwa anaendelea kuipromote katika mtindo anaoujua yeye, lakini kama ni kweli basi inaonekana wazi bado Baraka Da Prince amegoma kabisa kupokea msamaha wa mchekeshaji Stan Bakora.


Yote hayo yaliibuka kutokana na mchekeshaji Stan Bakora kuufanyia Cover wimbo wa Nisamaha wa Baraka aliomshirikisha Ali Kiba.

Na hivi ndivyo Stan alivyoandika baada ya uongozi wao kukutana;


·  Hakuna mtu ambae ajabadilika Rangi Ya Mwili Au Umbo Ukilinganisha Na Miaka Ya Nyuma angali Kipato Chake Kimeongozeka au Maisha kuchange Labla Kma Mnadanganyika na Macamera Na Editing Za Pic Lkn Kwa Wanaonifahamu Wanajua Uhalisia Wangu Na sijawahi Kujichubua hata siku moja nina imani hata ww hukuwa na weusi huo kipnd cha nyuma.....Pia kumbuka ulikataa utan na mm na mambo hayo jana meneja wako alishaongea na meneja wangu ,sasa sijui unataka nn ndugu km jana mlikuwa amjalizika na maongezi ya pale mngesema palepale.

· 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi