Monday, October 17, 2016

Gomesa Tv

Maneno haya ya Diamond, yampa tuzo Harmonize

Baada ya kunyakuwa tuzo  mwanamuziki Diamond Platnumz, aamua kumkumbusha mwanamuziki wake kutoka WCB Harmonize juu ya tuzo aliyoipata na maneno ambayo aliwahi kuyazungumza wakati wakiwa uwanja wa ndege wa Dar es salaa.
I remember last year you came to receive me at the airport when I was coming from @afrimma awards with my trophies...and you asked me "do you think one day I will even be nominated on any international Awards" then I told you "If you work hard, Praying hard, Believe in God, respecting everybody then God will make a way.... and today we are here celebrating Your BEST NEW COMER AFRICA Winning🏆... congrats @harmonize_tz and thanks a lot to our beloved fans and @Afrimma for keep supporting African talents...
(Hii picha inanikumbusha mwaka jana ulipokuja nipokea airport kutokea @afrimma ...ukaniuliza "hivi ipo siku nami nitachaguliwa tunzo yoyote ya kimataifa"....nikakwambia "Ukifanya kazi kwa bidii, Ukimuheshimu kila mtu, ukamuamini na kumuomba Mwenyez Mungu basi Mollah atakufungulia ndoto zako....na leo hii kweli Tunafurahia Ushaindi wako wa Msanii Bora Chipkizi Africa..... Hongera sana @harmonize_tz na shukran sana sana kwa Mashabiki zetu pendwa kwa kura na @Afrimma kwa kuendelea kuvinyanyua vipajia vya Africa🙏)

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi