Monday, October 3, 2016

Gomesa Tv

Jb filamu yampeleka kwa Sokoine

Mwigizaji wa filamu nchini Jacob Stephan, ametuma ujumbe huu baada ya kufanya vizuri kwa filamu yake ya Kalambati Lobo;

Ndugu zangu nimefarijika sana kwa jinsi mlivyoipokea kalambati lobo...asanteni sana..sana..najisikia raha sana kwani naelekea kumaliza kwa rekodi nzuri...sasa mnanidai filamu moja tu..niko monduli juu
kijiji kinaitwa Enguiki karibu kabisa na nyumbani kwa marehemu sokoine(waziri mkuu wetu)...Ambae bado hajaona filamu hii naomba ainunue..Mungu ndie anajua ninavyo wapenda na nilivyo furahi kwa jinsi mlivyo niunga mkono.....Mungu awabariki..Atshibe naleng'...enjooemayanu indai olaitoriani.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi