Wednesday, October 5, 2016

Gomesa Tv

Jb akabidhiwa mama shujaa
Mwigizaji wa filamu nchini ambaye kila siku anatanga kustaafu, Jacob Stephan ametuma salamu kwa mashabiki zake akiwa katika kijiji cha mama shaujaa na kusema.


Usikose kipindi cha mama shujaa wa chakula..kila siku kuanzia saa 12.30 hadi 1kamili usiku ITV...utakutana nami nikikupa burdani pamoja na kina mama 15 kutoka mikoa mbali mbali Tanzania..tupo Enguiki Monduli juu...kwa siku 21 za kipindi hiki..hadi Tupate mshindi atakaye ondoka na zawadi za zana zakilimo/uvuvi/ufugaji..zenye Thamani ya milioni 25...piga kura yako leo kwa mama shujaa wa chakula unaetaka ashinde..#kazi za kibalozi..oxfam grow campaign#

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi