Wednesday, October 12, 2016

Gomesa Tv

HAMISA MOBETO, awachanganya Rich Mavoko, Rayvanny na Diamond Platnumz

Mwanamitindo mwenye mvuto wa aina yake Hamisa Mobeto alijikuta anawachanganya watatu ambao walishiriki katika utengenezaji wa video ya Salome, akiwemo Diamond Platnumz  wanamuziki wake katika lebo ya WCB hapa ninamaana Rich Mavoko na Rayvann.

Diamond mwenyewe aliandika kupitia kurasa yake ya Instagram, kwamba mwanadada huyo ndiye aliyetengeneza na kubuni vizi jekundu, ambalo lilikuja kumtoa mate baada ya mwenye vazi hilo kuchelewa na kudondoka katika mikono ya Rayvanny baadaye akatia fitina ili apewe yeye.


·  Hahahaha wadau hii nguo Nyekundu niliovaa kwenye Shot nilokaa kwenye kiti na @hamisamobetto mmiliki halali aloshonewa vazi hilo alikuwa @richmavoko lakini kwakuwa kwenye fiting alichelewa, akakataka kupita nayo @rayvanny ....mnh nami pia nlivyoiona nikaitolea Macho, ikabidi nimrubuni @rayvanny anipe.... sasa mpaka kuitoa haikuwa rahisi😞..... Full video ya behind the scene ipo Youtube nenda katazame

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi