Monday, October 10, 2016

Gomesa Tv

Filamu hazikufa sitasinziaMwigizaji wa filamu nchini Haji Adam ' baba haji', amema haya baada ya watu kulalamika kwamba soko la filamu linatarajia kufa, kutokana na filamu sizizokuwa na ubora kuzagaa mitaani na kupelekea soko kuwa baya.
Baba Haji; Filam haziwezi kufa zita sinzia tu mpaka hapo Serikali itakapo amua kuweka mkono wake wa chuma pia sababu wachezaji film wenye viwango vyetu tupo tutailinda na kuitetea film.


Ingawa hakuna sapoti yakutosha tutaendelea kufurukuta maana pia ilisemwa heri yake mwenye kuthubutu ingawa aumia na mgaa gaa na upwa hali wali mkavu


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi