Sunday, November 1, 2015

Gomesa Tv

Jb kuanza kurusha Tamthiria

WAPENZI NA WADAU WA JERUSALEM FILMS TUNAPENDA KUWAJULISHA KUWA UCHUKUAJI PICHA WA TAMTHILIA YETU UTAANZA MWISHONI WA MWEZI WA 11..HII NIKUTOKANA NA KUINGILIWA KWA RATIBA KUTOKANA NA UCHAGUZI....WAIGIZAJI WENGI TUTAKAO WAPA NAFASI NI WAPYA..TUTATOA UTARATIBU WA USAILI...TAYARI TUMEPATA MKATABA MZURI NA MOJA YA TELEVISION YA KULIPIA...VILE VILE TUNAJIPANGA KUWATANGAZIA SIKU ZA KUZITOA...CHUNGU CHA TATU...CHALE. MVUVI...NA KALAMBATI LOBO...ENDELEA KUFURAHIA KAZI ZA JERUSALEM FILMS...

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi