Monday, November 23, 2015

Gomesa Tv

Hizi ndizo filamu za mwezi Desemba

 CHUNGU CHA TATU
Release   7 / 12/ 2015
Star ; Jacob Steven ‘Jb’, Wema Sepetu
Ni visa na mkasa vinavyompata mwanadada Doreen na hatmaye anaingia kwenye mahusiano na wanaume watatu tofauti kwa kile alichoamini angeweza kupata motto…… Chungu cha tatu.FIGISU FIGISU
-          Release Date; 23/ 11/ 2015
-          Star; Hemed Suleiman, Rayuu
-     
 Wema unalipa hila na hujuma  kutoka kwa watu wa karibu, kazini , Nyumbani na kwenye mapenzi ni usaliti tu, FIGISU FIGISU tu. Mwisho wa ubaya siku zote ni aibu lakini kwa upande mwingine ni furaha tu kwa familia hii. GALASA
Release; 28 / 12/ 2015
Star; Yusuph Mlela, Daud Michael
Ukijitazama kwenye kioo na kuona jambo baya unafanya katika maisha yako jua mwezi  wako anafanya pia ndio taswira yako.
.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi