Tuesday, November 24, 2015

Mohamed Gomesa

Haya ndio maneno ya Chege na kimya chake.


Nimekua mtu wa kusafiri safiri sana nchi tofaut tofaut lakini lengo langu kubwa ni kujifunza,sababu nakumbuka mama alisema kutembea pia ni shule!na hata vitabu vina sema itafuteni elimu hadi uchina,nimekua jasiri wakuto ogopa kwenda popote kwa lengo zuri tu kujifunza vitu tofaut sababu ninauhakika unapokua na mashabiki wengi tayari ni una majukumu tena jukumu zito ni kuhakikisha unawaridhisha kwa kila unacho kifanya,mbio zangu zote natafuta kuwaridhisha mashabiki wangu sababu umekua ni mzigo ambao lazima niubebe,sasa nasafiri tena lakini nikirudi nitakuleteeni zawadi inshaallah!!!na mwenyezi mungu atusimamie🙏🙏🙏 #04122015

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi