Thursday, October 29, 2015

Gomesa Tv

Utani wa Idriss kwa Nyerere

Badda ya kushinda katika shindano la Big Brother Idriss Sultani, alisema atakuwa mchekeshaji ingawa hajasema katika mtindo upi. lakini waliokuwa katika mitandao ya kijamii hasa wa Istagram, basi hukutana na vituko vya kila aina kutoka kwa mchekeshaji huyo. Ila moja ya kituko chake ni hiki hapa juu ya Mwl Kambarage Nyerere.

idrissultan
Yupo mwenyewe alikua anagombea yeye Nyerere na Kambarage akikosa yeye kambarage atachukua uraisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. ila hiyo tiki imepigwa na mkaa haki ya nani vile πŸ˜†πŸ˜† Au kama ni Khadija kopa basi wanja huu. Unaona kwenye kiboksi cha hapana hiyo mistari mistari hiyo ? Hizo nondo ya jela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi