Monday, October 5, 2015

Gomesa Tv

Taiya alivyofunika katika filamu ya Kicheche

Mambo mengi sana yatokea wakati wa utengenezaji wa filamu, lakini hatmaye hukamilka na kuingia sokoni Hii ni miongoni mwa filamu ambayo imetengenezwa na msanii ambaye ni mchanga lakini pia ni miongoni mwa filamu iliyotengenezwa na msanii mwenye umri mdogo.
Ila ndani ya filamu hii kuna ishu nyingi sana nimezina, kwanza ni umahiri wa mwanadada Taiya Odera jinsi anavyojiamini hasa katika Scene za mapenzi huwa si muoga.


Taiya akiwa na Isike
Lukamu akiwa na Taiya wakiwa kwenye moja ya Scene za mapenzi.
Filamu hiyo kwa sasa ipo Madukani kwa mzigo namba hii....0713 570 581 na 0716 788805

angalia sasa

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi