Thursday, October 8, 2015

Gomesa Tv

Steps watangaza kuingiza filamu 8 sokoni mwezi huu

Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini ya Steps Entertainment wanatarajia kuingiza sokoni filamu nane (8) kwa mwezi huu, filamu ambazo zinatengenezwa katika maadili tofauti.

Akizungunza meneja masoko wa Steps Entertainment Kambarage, alisema wao hawaangalii sana jinsi ya mchakato wa uchaguzi unavyoenda, isipokuwa wanatoa filamu kulingana na matakwa ya wateja wao.
Alisema filamu hizo zipo ambazo tayari zimeshaanza kuingia sokoni kama The Scar na Dracula huku zingine zikiwa zipo njiani.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi