Monday, October 5, 2015

Gomesa Tv

Mch; Mtikila afariki na kuacha kesi na Mijadala hii hapa 29Mwenyekiti wa chama cha siasa (Democratic Party - DP) nchini Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia  katika ajali ya gari iliyotokea kwenye kijiji cha Msola mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha kifo chake
RPC Mohamed amesema Mtikila alikuwa akitokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam na alikuwa na watu wengine watatu katika gari hilo ambao wamejeruhiwa.Amesema chanzo cha ajali hiyo bado kinachunguzwa.

                                         (Gari alilopata nalo ajali)
Hata hivyo mchungaji Mtikila alikuwa maarufu zaidi kwa kufungua kesi mbalimbali zinazohusiana na siasa a kumplekea kuwa mwanasiasa pekee, mwenye mijadala mingi na kesi nyingi zinazohusiana na Siasa Mahakamani.
Hizi miongoni mwa Kesi na mijadala aliyoianzisha.

Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...
Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila


Mchungaji Mtikila kufungua kesi mahakamani kudai Tanganyika Huru


Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa mahakamani


Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!


Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi!. Watanzania Sasa Tugomee...!


Mtikila: Dr. Slaa na Prof. Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Mtikila kumshitaki Lowassa Mahakamani, adai Afya haimruhusu kuwa Rais wa JMT


Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi


Mch. Mtikila kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 Mahakamani, 2015

Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa


Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa


Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)


Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

Mchungaji Mtikila: CCM ni Manyani - Epidomea


Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania


Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi mahakama ya Africa


Mtikila aibua mapya tume ya katiba


Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court

Mchungaji Mtikila kwenda Mahakamani kupinga mchakato wa Katiba Mpya!


Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%


Mchungaji Mtikila atoa Kali


Mtikila atishia kumshtaki AG

Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)


Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi


Mtikila atangaza kugombea Urais kama mgombea binafsi


Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi