Saturday, October 24, 2015

Gomesa Tv

Maneno ya Nikki wa pili kuelekea kesho Uchaguzi


·         nikkwapiliATM hazitakuwa na hela, sijui tununuwe vyakula tuweke ndani, hofu tupu....uchaguzi ama utumwa.....alafu watu wenye tunao wachaguwa ni kakundi kadogo tu kawatu.....kwan wabunge na raisi...kwa ujumla hawafiki hata
miatano......lakini wanavyo tupeleka watu milion 40 kama nyumbu wao.....mwanachi hofu hana yeye ni kupiga kura....ila mwanasiasa hofu kibao akiwaza madaraka na mahela ya watu aliyo tumia....hofu yake ni kama sumu na ukizubaa lazima akulishe

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi