Friday, October 2, 2015

Gomesa Tv

Kuna nini kati ya Diamond na Ommy Dimpozi?


WAKATI leo msanii wa kizazi kipya Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' akitakiwa heri siku yake ya kuzaliwa na watu maarufu mbalimbali wakiwa wasanii wenzake na wafanya biashara, lakini aliyekuwa rafiki yake wa karibu Omary Nyembo 'Ommy Dimponzi' yye ametoa heri ya siku ya kuzaliwa kwa mwana dada
Abbyplaatjes, jambo ambalo linaonesha wazi bado vuguvugu lao la kutoelewana linaendelea.

ommydimpoz
Be thankful your birthday comes just once a year. Think how old you would be if it came every month πŸ˜„πŸ˜„ happy bornDaY Abby @abbyplaatjes
Ur the Best 😚😚

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi