Saturday, October 24, 2015

Gomesa Tv

Huku ROMA kule BASATA kesho kunukishana

BAADA ya kuzuiliwa kwa wimbo wake mpya wa Viva ambao BASATA walidai kwamba wimbo huo, ulikuwa umejaa matusi na kashifa kwa viongozi. Roma ameamua kwenda mapema katika Baraza hilo la Sanaa ili kuweza kuangalia juu ya kazi yake mpya ambayo anatarajia kuitoa siku ya kesho wakati watu wakipiga kura.
Hata hivyo Roma amesema anaenda kuomba ridhaa ya kukubaliwa kwa wimbo huo, lakini kama hawatampa na wakimzingua ameahidi na yeye kuzingua ingawa hajasema atawazingua katika mtindo gani.
Kesho Ndiyo Ile Tarehe Niliyowaahidi
Kuwa Nitaachia ‪#‎KIBAO‬ Changu Kipya!!!!! /
Na Sasa Naelekea ‪#‎BASATA‬ Kuwasikilizisha Kabisa Kwanza!!! Wakitoa‪#‎GO_A_HEAD‬ Tu Basi Kesho Alfajiri ‪#‎KINANUKA‬ /
WAKIZINGUA NA MIMI NAWAZINGUA!!! /
Eee

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi