Monday, October 26, 2015

Mohamed Gomesa

HONGERA mkubwa Fela

Meneja Mkurugenzi boss wa wasanii na kundi la Yamoto band, mkubwa na wanawake na TMK wanaume Family, Saidi Fella ametoa shukrani zake kwa wakazi wa Kilungule kwa kumchagua kuwa Diwani wa Kwanza wa kata mpya ya Kilungule.

Nasi BONGOUNIT, tuna mpongeza mwanaharakati huyo wa muziki na meneja wa kwanza wa muziki hapa  Tanzania. Hongera Saidi Fella, kazi njema.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi