Monday, October 26, 2015

Gomesa Tv

Maneno ya Wema Sepetu kwa Lowasa

Hadi Raaaaaaha......... Alafu eti mnasema Babu Mamvi..... Mi natangaza Rasmi... Akichukua nchi Lowaaaa nahama zangu...@mangekimambi_ nakuja hukoooo... Sitopataka hapa Tanzania... Maana Babu Lowaaa atauza nchi... Ufisadi ulivyomjaa... Ila najua Tanzania yangu itakuwa in safe hands atakapoingia Tinga Tinga.... Wapinzani mpoooooo....? Mpaka sasa tunaongozaaaa.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nicheke mie... Haiya wapinzani mkae karibu na radio zenu mpate kuyajua ya Jembe letu....

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi