Thursday, October 29, 2015

Gomesa Tv

Feiza aendelea kumshambulia Sugu na mashabiki zake

Wakati mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Two, Sugu au Joseph Mbilinyi aking'ang'ania kiti chake cha Ubunge, huku mama watoto wake Feiza Ally ambaye kwa sasa wametengana, ameendelea kutupa maneno makali, huku akiwataka mashabiki wa Mbunge huyo kumuuliza kwamba ameachwa au ameachika kutoka kwa mwanamama huyo wa Big Brother.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi