Wednesday, September 23, 2015

Gomesa Tv

Usia wa Nay kwa wasanii wote

Wakati mbio za kuelekea kwenye uchaguzi zikiendelea kushika kazi. wasanii waemeendelea kujitokeza  mbele  kuhakikisha kiongozi anayemtaka anapita na kuchukua nchi kwaajili ya kuongoza kwa miaka mitano ijayo.

Miongoni mwa wasanii kutoka katika muunganiko wa vyama vya Siasa vya UKAWA, Nay wa Mitego ameamua kutoa usia wake kwa wasanii wote ambao wameingia katika siasa na kujisahau kwamba wao ni wasanii na sio wanasiasa.
Nay alisema; Wasanii tubaki kuwa wahamasishaji tu kuanza kukashfu viongozi utadhani labda nawewe umekua mwanasiasa au Mgombea itakuja kutu Cost baadae’


‘Huwa najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana wanasahau wao ni wasanii na wana mashabiki wenye Imani tofauti, pia kuna Maisha baada ya uchaguzi, endeleeni kutumika vibaya kwa njaa ya leo na kwa maslahi ya wachache na kusahau kuna kesho,Pigania unacho amini lakini sio kwa kashfa wala Matusi, Mimi naamini #Mabadiliko2015 Tukutane #October25′ – Nay wa Mitego

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi