Friday, September 18, 2015

Gomesa Tv

UKAWA watonesha tena kidonda cha Jb kwa Adam Kuambiana


Ikiwa ni siku chache tangu filamu mpya ya Jb ya MAHABUSU  aliyotengeneza ambaye muigizaji mkubwa katika filamu hiyo akiwa Director, Actor na mzee wa mingi marehemu Adam Kuambina, Jb amejikuta akimtaja tena mwigizaji huyo kwamba kama angekuwepo baadhi ya matatizo
yasingemkuta.

Jb alijikuta akiyasema hayo baada ya kutoa tangazo la promo juu ya filamu yake mpya inayokuja, ndipo baadhi ya mashabiki wakamjia juu kwa kutaka filamu hiyo ikanunue na makada wa chama chake.

Hata hivyo mwigizaji huyo aliweza kutumia busara kwaajili ya kuwapoza, na kumtolea mfano swahiba wake huyo ambaye alikuwa kada nzuri wa chama cha Chadema, tena akiwa kampeni meneja wa mkewe Janert na bado walikuwa wakielewana.
Filamu hiyo kwa sasa inayofanya vizuri sokoni, baada ya siku mbili tangu ilipoingia sokoni, imewafanya mashabiki kuanza kutofautisha kazi ya msanii huyo na kuwa na imani naye na kuweka siasa pembeni.

Haya ndio aliyoyasema kupitia Instagram;
https://igcdn-photos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t51.2885-19/11821172_104800086539965_1562709647_a.jpg
FOLLOWING


jb_jerusalemfilmsNARUDIA TENA SIASA SIO VITA...MAREHEMU ADAM ALIKUWA CHADEMA KULIKO WENGI WENU..MPAKA ALIKUWA CAMPAIGN MANAGER WA MKEWE JANET KULE KAWE KWENYE UDIWANI...MBONA TULIKUWA TUNASHIRIKIANA???WASANI MBONA WENGINE WAKO UKAWA LAKINI BADO NI MARAFIKI...NINA NDUGU AMBAO WAKO UKAWA NA NYINYI PIA MNA NDUGU WAKO CCM MNAGOMBANA NAO????HAMSHIRIKIANI NAO????AU MME ONA SINEMA ZETU TU...VITU VYOTE MNAVYO NUNUA MADUKANI VIMETENGENEZWA NA UKAWA???ACHENI SIASA ZA KIJINGA..SITAKI UTOTO NIKITANGAZA KAZI ZANGU...KAMA HUPENDI PIGA KIMYA...

huku mashabiki wake nao wakitoa maoni yao kwa kusema 
·        

·         murhathassanMm ni Ukawa damu lkn kaz yako ntanunua na uwa siikos
·         godfreynyakyKwani unaangalia siasa ndani ya cd au ni ujumbe?kwani akiwa ccm asitangaze kazi yake kisa ni ccm?tuache ujinga kila ndege hutua kwenye mti aupendao we kama upo ukawa cio wote wako ukawa muache ubinafsi
·         emmyamoreKwa wenye vitambi na manyama uzembe just follow@edmarkslimmingproduct
·         s_josiaIla ukiwa msanii hutakiwi kukaa upande wowote wa siasa, coz mnawagawa mashabiki. Mim hakuna CD ya JB aliyowahi kuitoa sijanunua, but from now mwishoooo
·         shuunurdini01Usiponunua ww tutanunua ss
·         teddymosha991jb acha hiz hata wew uko pande fln hiv ndo wale wale kweny msafala wa mamba kenge nao wamo
·         official_pinkmadoraliCcm oyeee
·         amina.issa.7311Wow
·         abriellazNavopenda kazi Zako kwanza jb uwiiiiiiiiii naanzaje kukutenga kwa ajili ya upuuzi wa ccm na ukawa and by the way mwisho wao Ni tar 25/10 akuuuu piga kazi babu @jb_jerusalemfilms
·         bintikiluWanyamazishe hao wacojijua.....ccm juuuu
·         essamdannelWanazingua
·         jeniiva_pastoryWambie haoo!!! Unajua ukawa wamepaniki
·         siscafraherNaomba namba zako jb nahtaj mc ktk shuhul yangu
·         godluckkimario376Sawa baba
·         preciox_annieDuh
·         fredymbeganiNi kweli
·         joycerobert4888Kak natak kuonn na ww plz ndn ya wik hii kma ikwezkaln plz broo namb zang 0715154249 plz fany hvyo nafx yang inanxxtzia lifanyk harak plz
·         beatrice_daudiccm oyeeeee......nawatanyok tuuuuuu
·         mr_stanleymwaniTushaacha Kwani nafaidika na nini mimi? Una hasira au
·         microprocessorBrother kapaniki hahahaahaaa you can't control emotions za watu kaka. Ndio maana mnashauri watu wenye washabiki wengi kama ww bro JB amtakiwi kuonyesha hisia zenu zakisiasa hadharani. Utakiwi kuwa BIASED. Kwan ukifanya ivyo unajenga makundi ndan ya fans wako. Na matusi ayataisha coz wataona auwatendei haki upande waliko wao na ww auko.@jb_jerusalemfilms . Relax and stay safe. Do not reply to emotions you can't solve the problemGomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi