Monday, September 14, 2015

Gomesa Tv

Tani tatu ya vipodozi vyateketezwa na TFDA


MAMLAKA ya chakula na dawa –TFDA, kanda ya kati imeteketeza zaidi ya tani tatu za shehena ya vyakula, vipodozi vifaa tiba na dawa zenye thamani ya shilingi milioni 38. 8 kufuatia msako mkali
uliofanywa katika maduka yaliyoko Manispaa ya Dodoma na kubaini bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kumalizika muda wa matumizi pamoja na kuwa na kemikali zenye viambata vya sumu.
Meneja wa TFDA Kanda ya Kati, Florent Kayombo amesema bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia msako uliofanyika mwezi Jully na August ambapo pia jumla ya maduka tisa ya vipodozi yalifungiwa na kutozwa faini.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi