Thursday, September 3, 2015

Gomesa Tv

Shilole kufanya Show Houston Marekani @ BASATA na kifungo chao

Kumzuia msanii asifanye kazi ni sawa kumwambia asiishi, au asitoke nje maana hana ujanja mwingine kutokana na wasanii wengi maisha yao kuwekeza katika muziki bila ya kutegemea kitu kingine chochote.

Wakati Balaza la Sanaa Tanzania likimwekea kikwazo msanii machachari wa muziki wa kizazi kipya, Shilole 'Shishi baby', mwanamuziki huyo uvumilivu umemshinda kwa sasa yupo nchini Marekani bna mwanamuziki mwenzake Ommy Dimpozi kwaajili ya tamasha jumamosi Courtyard Houston Westchase.


mwenyewe ameandika hivi.   

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi