Monday, September 14, 2015

Gomesa Tv

Sababu 7 zinazoweza kuharibu au kuneemesha mapenzi kitandani

KATIKA uhusiano mwanamke ndiyo mchezaji mkubwa kwaajili ya kumfanya mwanamme aendelee kupenda penzi la mke wake au mchumba wake. Lakini wapo wanawake wanahisi mapenzi ni ushamba, yaani anafanya kwakuwa yapo afanye, lakini hajui kama ndio chachu ya kuendeleza uhusiano wake.

Wapo wengine mwanamme anaishi naye kidogo, yaani mara mwanamme kamchoka anamwacha au anachepuka. Lakini matatizo makubwa yapo kitandani, na haya miongoni mwa matukio 7 ya awali kabisa ya kuyazingatia
KUWA HARISI ( Don't fake it)
Kuwa harisi kulingana na mwili wako, usitake kuonekana ni mtu Fulani lakini kumbe haupo hivyo. Unaweza kuvaa nguo za ndani maalum kwaajili ya kuonekana kuwa unamakalio makubwa, kujichubua kuonekana mweupe. Mara nyingi mwanamme anapogundua kaongopewa katika maumbile huwa ni vigumu kuendelea kutimiza ndoto yake ya maisha na mtu wa namna hiyo (2015 Cosmopolitan survey, 67 percent of straight women have faked an orgasm. )

HAKIKISHA WOTE MNAMALIZA HAJA ZENU. (Ask him to help you finish first.)
Mara nyingi mmanapokuwa katika tukio katika ulingo wa fundi selemara kuna watu wanajifanya kuchoka kama wakimaliza mambo yao. Ahhh!! Sio kihivyo, muulize mwenzangu umemaliza, na kama hajamaliza hakikisha anamaliza ndio mnapumzika. Kuna baadhi ya wanawake wakimaliza hawana hamu tena ya kuendelea, huenda kwakuwa wamezoeana hivyo hawezi kwenda tena. Hiyo ni mbaya zaidi kwakuwa mwanamme hana mshipa wa kuendelea kukaa nahamu kwa muda mrefu zaidi. Hahaha!! Wanasema hata miguno pia inasaidia mwanamme kumaliza haraka,
( James Deen–like stamina. More from The Stir: New Orgasm Study Is Oh, Oh, Oh So Troubling for Women)


KUWENI NA MAONGEZI MAZURI MNAPOKUWA FARADHA (Communicate with a positive attitude)
Mnapokuwa katika mambo yetu jitahidi kuongea maneno matamu mazuri yenye kuvutia hata kama hayaeleweki. Mme wangu wewe ni wangu wa milele, ukiniacha ntakufa, baby mimi nakuonea wivu, yaani kila aina sifa miguno ndo usiseme. Yaani wanaume wote duniani wakisifiwa wakiwa kitandani wanakuwa sawa na mlevi aliyemaliza kleti 3 pombe kali.

Mara wewe mzuri kama malaika, mtamu kama chenza, mzuri kama miss dunia,.. ntakujengea nyumba, mlima Kilimanjaro ntakukabidhi wewe. Yaani ni kudeka na miguno isiyoisha, ila usije ukajichanga kusema … oooh, mwizi, mbona hunipi kama alivyokuwa akinipa Fulani. . "Communication starts with attitude," says Shannon Chavez, PsyD, a certified sex therapist in Los Angeles, California)


USIULIZE SWALI JUU YA SWALI ( Don't ask questions that aren't questions.)
Unapofika usiku na unamuona mumeo yupo bize, kutizama mpira, kuangalia filamu au kwenye kazi ambao wewe unaona anaweza kuifanya hata kesho. Tumia muda huo kumfuata, acha maswali juu ya maswali kama ‘Unakuja kulala au huji?” au unamuuliza,  “mume wangu vipi tunafanya mambo  leo?”.

Huo ni uzembe! Nenda mfuate kwenye kazi zake, mwambie aiseee!! Nimezidiwa, unamshika mkono unavuta kwenye kitanda. Akimpata kinganganizi, anayejua kushawishi, anajikuta kila siku anahamia huko.


5  WEKA MITEGO ( Be a little selfish)
 Kabla ya kumvuta kitandani, hakikisha unajenga mitego, ikiwemo sauti za mitego, mavazi ya mitego, unatumia macho yako, unatumia mwili wako kuhakikisha jamaa anahamisha akili yake na kuhamia kwako.
Ila poleni kwa wenye chumba kwaajili ya watoto, ila kama unanafasi hiyo fanya. Utamuona mumeo anavyowahi kurudi, au kumaliza haja zake kwako na anapotoka nyumbani huo mweupe. Sababu kinachomfanya mwanamme achepuke zipo nyingi, lakini kikubwa ni kutomaliza vizuri anaporudi nyumbani. Yaani nusu anamwaga nusu anabaki nayo.

NENO STAKI USILITUMIE KITANDANI ( Focus on what he that turns you on, not on what turns you off.)
Yaaani mwanammke unatakaiwa kujituma, kila staili mpya inayotambulishwa unaikubali, kama unahizi haina madhara unamwambie nzuri sana na aongeze juhudi. Kama inamaumivu mshauri pole pole labda muiboreshe, maana hata gari bovu pia linatengenezwa sembuse binaadamu.

Staili mbaya ambayo haitakiwi ni kuruka ukuta tu,ambayo sio mbaya kwa maana mambo ni mbaya kiafya, kimwilili na hata kwa mungu akihitaji mweleweshe vya kutosha na nukuu za vitabu vya mungu hata vya kukopi kwa viongozi wa dini kama wewe hujui.
("Communication doesn’t have to start with a negative such as 'I don't like it when you ... ," says Dr. Chavez, Dr. Chavez says, "appreciations and compliments are the best form of foreplay."

7.  USIPENDE KUWA NA MACHAGUO (Don’t make assumptions)
DMnapokuwa faragha jamaa au mwanamke anaposema anapenda denda, mpe sio unaanza. Huwa mimi spendagi hiyo, au usininyonye maziwa, bwana eee usinishike nyele zimetoka saloon hizo.
Yaani hiyo ni mbaya sana maana wanaume wengi wakipewa mipaka wanaona kama vile bado hawajathaminiwa, ukiulizwa unapenda sema napenda sana vipi wewe lakini unafurahia?
 "Make a statement like, 'I really enjoy when you give me oral sex but I’m not sure if you are enjoying it.'" Dr. Chavez suggests.

FURAHIA CHEZEA KILA KITU ( Take on a playful attitude)
Ujinga wa mapenzi mkiwa sehemu faradha hata kama mtu atakuwa ameingia ndani hamuwezi kujua, hivyo hiyo inaonesha ni jinsi gani akili huwa zinahama. Basi mwanamme usiogope kumpapasa mwenzako popote, kuhakikisha anapata msisimko.

Chekelea furahia kwakuwa mapenzi sio vita, basi onesha ni jinsi gani unavyofurahia sio majibu ya mkato. Unaulizwa umetosheka nawe unamuuliza kwani wewe vipi? Yaani kama umeuliza kumeza dawa uanvyokunja uso.
. "Have fun when talking about sex by being playful, letting yourself explore, and be in the moment," says Dr. Chavez.

MAWASILIANO YA MACHO (Make eye contact)
Ujue macho yanaongea zaidi kile kilicho moyoni, yaani hakikisha macho yako yanalegea na kumvuta mwanamme. Hakikisha kabla au baada ya kufanya mambo yenu, unahakikisha macho yako yanaonesha furahaa furani.


Hayo ni machache katika mengi.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi