Saturday, September 5, 2015

Gomesa Tv

Mtu mfupi zaidi duniani afarikiMtu mfupi zaidi Duniani Chandra Bahadur Dangi aliyeweka rekodi katika kitabu cha watu maarufu waliofanya vitu tofauti au vikubwa duniani  Guinness World Record amefariki alhamisi jioni  akiwa na miaka 75.

Dangi, lifariki katika hospitali ya Johnson Tropical Medical Center katika mji wa  Pago Pago,, kwa ugonjwa ambao hadi sasa haujafahamika

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi