Thursday, September 3, 2015

Gomesa Tv

Mafuriko ya Saidi Fella Kilungule


MKURUGENZI boss meneja wa kundi la Mkubwa na wanawe, Yamoto na Tmk Wanaume Fammily Saidi Fella almaarufu kama Mkubwa Fella juzi amejikuta akizoa wakazi katika kiwanja cha Majimatitu B, kipindi
akizindua kampeni yake ya kuwania udiwani katika kata ya Kilungule huku akiongozwa na wasanii kibao, akiwemo Amini, Mwasiti, Ditto, Rich Mavoko Bonge la Nyau na wengine.
Katika uzinduizi huo wa kampeni alitoa kipaumbele kikubwa ni kushughulikia tatizo la kituo cha Mbagara kwa kujenga kituo cha kisasa, pamoja na tatizo la maji na barabara ambalo limekuwa la muda mrefu.
Fela alijikuta akizoa marufu ya watu ambao walikuja kusikiliza sela zake huku akiahidi, kufunga kwa bonge la tamasha ikiwemo kutoa kutoa dhamila yajke ya kwanini anahitaji kuongoza kata hiyo.


Mkubwa Fella akiwa na mkewe Sweet Fella.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi