Wednesday, September 23, 2015

Gomesa Tv

kitimtim cha kipindupindu na filamu ya Mama Lishe

Wakati kitim timu cha watu kuvunjiwa vibanda vyao huko maeneo ya Mburahati, Mabibo na maeneo mengine ya Uswahili ambapo ugonjwa wa Kipindu pindu umekuwa ukishika kasi. Filamu mpya ya Cloud
112 nayo inaingia sokoni, jambo ambalo watu wengi wamefikiri kwamba imekuja kwa muda muafaka.
Akizungumza mmoja wa waandaji wa filamu hiyo, Halima Yahaya 'Davina' alisema filamu hiyo imekuja kwa kipindi hiki pia kuashiria biashara hizo ni sawa na biashara zingine.
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi