Friday, September 25, 2015

Gomesa Tv

Kichwa cha kuku filamu iliyoakisi maneno ya Ney

NILIPOITIZAMA KICHWA CHA KUKU.... nilikumbuka maneno ya Ney wa Mitego kwa Mzazi mwenzake Skyner Ally. Kama hujaangalia najua hutanielewa, ila angalia alichokifanya Ray ndani ya filamu hiyo. Harafu fikiria mara mbili kwa mapenzi ya Bongo, kama ni mpenzi wako. Ila ni Bonge la FUILAMU, bonge la LOVE STORY pia ni BONGE la maumivu kama yanakuhusu. HEBU ipitie harafu uniambie nini umegundu?


Skyner akiwa katika pozi wakati wa utengenezaji wa filamu ya Kichwa cha kuku.

Vicent Kigosi 'Ray' aliyefanya mambo makubwa katika filamu ya Kichwa cha Kuku.
Ney akiwa na mwanaye aliyezaa na Skyner . anbaye alisema mambo ambayo yalisababisha kuachana na mwanamke huyo, ni kutokana na muda mwingi kutumia kwa kufanya kazi zake za kuigiza.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi