Friday, September 18, 2015

Gomesa Tv

Katika hoja 7 zilizofikishwa kwa raisi inaongelewa Dinner tu.

Wakati kundi zima kutoka Kaskazini la Weusi chini ya Joh Makini likisusia kampeni za viongozi mbalimbali, kwa hofu kwamba wasije kupoteza mashabiki zao, huku akiwashanga wasanii wenyewe wakijadili kuhusu nani alilipa Dinner, baada ya hoja zao saba walizozifikisha.

Msemaji wa kundi hilo Nickson Simon  'Niki wa pili' ameshangaa viongozi hao kuendelea kunadi sera zao na kusahau, hoja za wasanii ambazo waliwahi kuzitoa siku ambayo walikuwa wakimuaga raisi Jakaya Kikwete.

alisema sasa hivi kila msanii au malumbano makubwa yaliyokuwepo kutoka katika kikao kie, ni nani kalipa Dinner, lakini sio misingi ilikuwepo katika mkutano huo.

Kupitia mtandao wake aliandika haya.
nikkwapili
Bado naitizama hii speech and am proud of it...ila kwa kuwa ili adhiriwa na timing ama mazingira na wana propaganda za siasa waka wawekea maneno mdomoni wananchi.....wote wakongea dinner dinner dinner......nani sijui kalipia

Hakuna aliyendelea kuongea na kufikiri zaidi juu ile hoja
1. Namna ya kuwaingiza wasanii kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

2.ujenzi wa miundo mbinu ya sanaa

3.ulinzi madhubuti wa soko la movies

4.namna ya kutumia fursa ya zaidi ya watu milioni 150 wanao ongea kiswahili africa mashariki na kati kuuza sanaa yetu

5. Uwekezaji wa mitaji ya makampuni

6.elimu ya ubunifu

7.sera na tasisi elekevu na zenye mlengo wa biashara sio utamaduni

Watu wote wanaongea dinner nani kalipia dinner......

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi