Monday, September 14, 2015

Gomesa Tv

Filamu ya MAHABUSU kuingia sokoni SEPT 16.


Kampeni ya Steps Enrtainment ikishirikiana na kampuni ya Jerusalem chini Jacob Steven 'Jb' wanatarajia kuingiza sokoni filamu ya Mahabusu ambayo walimshirikisha Adam Kuambiana.

Sept 16 ambapo sawa na siku ya jumatano filamu hiyo inatarajiwa kuingizwa sokoni nchi nzuma, huku ikifuatana na usakaji mkali wa wasambazaji wa filamu feki au zilizodurufiwa.

Kama utakuwa unahitaji mzigo popote pale uliko, unaweza kuwasailiana nasi kwa njia ya simu. 0716 788 805 AU 0713 570 581
tutakufikia popote, mkoa wowote au nchi yoyote kulingana na ukubwa wa mzigo wako.
Hasante.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi