Tuesday, September 15, 2015

Gomesa Tv

Aunt amjibu Wolper kuhusu kununuliwa

Wakati malumbano kwa viongozi wa kisiasa yakiendelea katika viwanja vya kampeni, nako wasanii wameendelea kupigana vijembe  na kujibizana kupitia mitandao ya kijamii ilimradi kila mmoja avutie upande wake.

baada ya hivi karibuni mwigizaji Jacline Wolper kusema kwamba hajakutana na Lowasa barabarani, na huku akiwashutumu wasanii wenzake kununuliwa katika chama tawala.

Mwigizaji mwenzake mwenye machachali, Aunt Ezekiel amejibu mashambulizi hayo kwa kusema
Wolper kasambaza uongo tumenunuliwa, mbona hasemi alipewa ngapi aje kutununua kwenda UKAWA. Sio kila kitu ni cha kufanyia usanii jamani.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi