Thursday, August 27, 2015

Mohamed Gomesa

Wema kuzindua kampeni Leo Hyatt Hoteljenniferkyaka@Regrann - Wapendwa wangu leo Agost 28  jioni tutakuwa tuna Dinner Gala itakayofanyika kwenye Hotel ya Hyatt Kilimanjaro Kempinsky Hotel kwanzia saa 12.30
jioni... Dinner Gala hii itakuwa ni kwa ajili ya Ku launch rasmi Campaign yetu ambayo inafanyika na wasanii mbali mbali wakiwemo wanamuziki na waigizaji iitwayo

"Mama Ongea na Mwanao"... Watakaopata kadi hii basi wanakaribishwa kujumuika nasi... Mgeni wetu Rasmi atakuwa Mh. Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mama Shein, Mama Asha Bilal, Mama Tunu Pinda, Mama Samia Suluhu, Mama Janet Magufuli, Mama Asha Rose Migiro na Mama Zakia Meghji... Mualiko huu utakuwa ni kwa watu maalum tu watakaopata card hii.... Asanteni sana.... #MamaOngeaNaMwanao2015#KidumuChamaChaMapinduzi #Regrann

a

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi