Tuesday, August 25, 2015

Gomesa Tv

Wema hatuhitaji wasanii wa chama cha Upinzani


Wakati kampeni zikianza kwa kasi huku makundi ya wasanii wakigawanyika, mwigizaji Wema Sepetu
akiongozana na wasanii wengine kama Odama, Cath Lupia,Davina, Wastara Juma, Keisha, Welu Sengo, mama Nyamayao, Thea, Maya, Chuchu Hans kwamba hawatakuungana na wasanii wengine ambao kwao wanawaona kama wasariti katika chama tawala.

Wema alisema watarajia kufanya safari ya kumtangaza Magufuri na makamu wake wa rais mama Samia Suluhu katika kampeni ya Mama Ongea na mwana kwa takribani mikoa 10.
Lakini hofu imekuja juu ya mashabiki wa filamu nchini kwamba huenda mgawanyiko huo ukachukua muda mrefu zaidi kupotea hata baada ya uchaguzi kuisha.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi