Wednesday, August 26, 2015

Gomesa Tv

Fella kuanza kampeni Agost 30 Majimatitu BMKUGENZI meneja , mwasisi na kiongozi wa Mkubwa na wanawe, Tmk wanaume Famili na Ya Moto band Saidi fela amesema ameingia katika siasa baada ya kuona vijana wengi na watu wa kata ya Kirungule wakihitaji msaada wake.

Saidi Fela amesema anatarajia kuanza kampeni yake kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Maji Matitu B maarufu jana kiwanja cha Simba, kuwania udiwani katika kata ya Kirugule, huku akijumuika na wasanii ambao wamejitolea kumuunga mkono.
Alisema kampeni hiyo anatarajia kuanza siku ya agost 30  sawa na jumapili katika viwanja vivyo vilivyopo Tenmeke.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi