Monday, August 24, 2015

Gomesa Tv

Diamond waendelea kumwandama@ Stan Bakora umaarufu wamsumbua

Wananchi ambao hawamtakii mema mwanamuziki Diamond Plutnam wameendelea kumsakama kila kukicha 
 safari hii, wameamua kufungua akaunti za Facebook nyingi zaidi na kupost picha ambazo mara nyingi mashabiki wamekuwa wakimtua lawa yeye. Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond amewataarifu mashabiki zake kwa kuandika.
·  diamondplatnumzATTENTION: Kuna account Feki ambayo inatumia jina langu ina aandika habari za Uchochezi na Matusi hiyo account ya Facebook SIO YANGU, ACCOUNT YANGU IPO VERIFIED NA INA TIKI YA BLUE NA INA LIKES 772.5K... shukran 🙏

lakini kwa upande  wa mchekeshaji Stan Bakora yeye amefanikiwa kuirudisha account yake ya Instagram ambayo ili hug (Ilitekwa ) na watu ambao hakuwafahamu


·  mkudesimbaoriginalMungu mkubwa Hatimae account ya @stanbakora brother @midezoo Ameweza kuirudisha kuanzia sasa account anayo @stanbakora mwenyewe asante brother @midezoo @midezoo
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi