Thursday, August 27, 2015

Gomesa Tv

Baby Madaha kuupa mgongo muziki


Baby Madaha anajiandaa kutoa ngoma yake mpya ambayo huenda ikawa ni ya mwisho.
Muimbaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa focus yake kubwa kwa sasa ni kuwa mtayarishaji wa filamu.
“Nimeamua kujikita kwenye movie zaidi kuliko kwenye muziki,” amesema.
“Nitafanya na Allan Mapigo na nipo kwenye hatua za mwisho kuikamilisha. Baada ya Amore then Corazon nadhani ndio nitawaaga rasmi coz sasa nitaanza kuishi maisha mengine,” ameongeza.
Baby amedai kuwa ana mpango wa kuongeza ujuzi katika masuala ya utengenezaji wa filamu kwa kwenda kusoma nje ya nchi.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi