Wednesday, August 26, 2015

Gomesa Tv

Baba Haji atoa ajila kwa vijana 24


Mwigizaji Haji Adam maarufu kama baba haji, ameanza kufungua njia kwa vijana ambao wasiokuwa na ajila kwa kuwaajili kusambaza filamu yake mpya ya Mama si Mama huku vijana  24 wakipata nafasio hiyo ya
kusambaza mitaani.
Baba Haji ambaye alisema huo ni mwanzo juu ya kusambaza filamu yake mwenyewe ya Mama si Mama huku akiahidi kuendelea kusambaza filamu zake zote, atakazokuwa akizifanya.
Alisema chanzo cha kusambaza mwenyewe kazi zake kunatokana na wingi wa wawasanii kusimama sehemu moja kusubiri soko, jambo ambalo linapelekea kukaa zaidi ya miezi sita au mwaka kungojea zamu ya filamu yako.
Alisema ameshaanza kutoa ajila kwa vijana hao ambao watakuwa wakizunguka mitaani na kuuza filamu hizo kwa bei nafuu, ili kufanya wateja wake wasipate tabu katika kuangaika kutafuta filamu zake.
 filamu ya Mama si Mama ambayo pia kashiriki Slim Omari na Selemani Barafu

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi