Wednesday, July 15, 2015

Gomesa Tv

Ojwang hatunae tena

Mzee Ojwang Afariki Dunia
MWIGIZAJI nguli raia wa Kenya, Benson Wanjau ‘Mzee Ojwang’ amefariki dunia jana jioni akiwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (Pneumonia).
Mzee Ojwang atakumbukwa katika Vipindi vya Televisheni kama Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 78.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi