Sunday, June 28, 2015

Gomesa Tv

nyerere

Steve  Nyerere: Sijakurupuka Kugombea Ubunge
Staa wa Bongo Movies na aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye wiki iliyopita alitangaza niua yake ya kugombe ubunge mwaka huu wa uchaguzi amedai kua
hajakurupuka kuutaka ubunge kupitia jimbo la Kinondoni na kuwa ataendeleza sanaa hata akiwa mbunge.
Akizungumza na millardayo.com alisema..’Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa  mwanachama wa chama cha Mapinduzi  umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29 naelekea 30 lakini vilevile nimekuwa kamanda wa vijana miaka 10 tawi la bwani kinondoni, nimekuwa mwamasishaji  wa chama cha mapinduzi kitaifa kwa muda wa miaka 10
Kwa hiyo nataka kusema sijakurupuka na wala sijatamkia sifa kwasababu labda nimeona mtu Fulani amegombea na mimi basi tu  nigombee hapana  nimeona  katika wilaya yangu ya  kinondoni kuna matatizo kadhaa  nani anaweza kuyatetea hayo matatiizo  basi mimi ndio nitakuwa mtetezi wa wilaya wa Kinondoni pamoja na matatizo ya wasanii wetu, kuhusu kazi zangu za filamu nitakuwa nafanya kama kawaida huku nikiwa natumikia kazi za Bungeni’alisema 
Millardayo.com
27.06.2015 -  Tags:  STEVENYERERE 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi