Saturday, August 2, 2014

Gomesa Tv

Msondo Ngoma watoa wimbo mpya@ walia na MediaKIONGOZI wa bendi ya Msondo Ngoma,  Saidi Kibiriti amesema bendi yake kwa sasa  imetambulisha nyimbo mpya ikiwemo Nadhiri iliyotungwa na
Juma Katundu.  Kibiriti alisema muziki wa dansi hasa ule wa zamani umeendelea kupewa kisogo wa waandishi watangazaji wa redio na luninga na kusababisha kudumaa.

Alisema sasa hivi muziki uliopewa kipaumbele ni wa kizazi kipya, ambao umekuwa ukiingizwa sauti na wanamuziki huku wakitohoa nyimbo za watu na kuzifanya za kwao.

“Wanahariri kila kitu cha nje na kuziita nyimbo zao, kwanini wasishike vifaa wakapiga ili tupate nyimbo zetu,” alisema Kibiriti.
Alivitaka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuweza kuunga mkono mziki huuo ili kusogea mbele.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi