Saturday, August 2, 2014

Gomesa Tv

Frola Mvungi amfuata Kala Jeremiah
MWIGIZAJI wa filamu nchini Flora Mvungi, amesema amejiingiza rasmi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu

Alisema kabla ya kuamua kujiingiza kwenye tasnia ya uigizaji, alishawahi kuwa mwimbaji kipindi hicho akiimba pamoja na Kala Jeremiah kabla ya Bongo Star Search, lakini hakuweza kumudu kwa muda mrefu sana kwenye tasnia hiyo, kiasi cha sasa kuamua kurudi tena.

Mvungi alisema mwaka 2011 aliachia wimbo Sinaga, ambao ulikuwa kama wa mwisho kabla ya kuamua kurudi tena kwenye tasnia hiyo safari hii.
“Nimeamua kuingia kwenye muziki rasmi,  natarajia kuachia kazi zangu nyingi” alisema.

Alisema wimbo wake mpya alioutoa hivi karibuni unaitwa Kidogo, ambao amemshirikisha mumew, Khamisi Ramadhani ‘H baba’.
Alisema mshirikisha baada ya maoni ya watu kumshauri kufanya hivyo kutokana na wote kuwa na kipaji cha uigizaji na Uimbaji.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi