Saturday, August 2, 2014

Gomesa Tv

Barnaba atoa tahadhari na Mkewe.


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Elias Baranaba ‘Barnaba Boy’ amesema hatoruhusu mkewe kuwa mwigizaji wa kuonekana katika video ya mtu
mwingine ingawa yeye mwenyewe alimtumia katika video yake Wahalade.

Akizungumza na mwandishi wa Bongo Unit, alisema alimtumia mkewe akiwa kama  mshiriki wa video ‘model’ katika  wimbo huo,  ili kuonesha ni jinsi gani anavyomsamini.

Lakini amesema hatokubali  mtu mwingine kumchukua hata kama atamlipa ilikuonekana  katika video yake, kwakuwa hataki mkewe hajihusishe na sanaa yoyote zaidi ya biashara.

“Mke wangu ni mfanya biashara na anabiashara zake, mimi nilifanya vile kama mwenyewe lakini sitopenda afanye kwa mwingine,’ alisema.
Barnaba alisema ingawa alikuwa ni mkewe pia  yeye ndiye aliyependekeza aonekanae kwenye video hiyo, lakini alimpia ingawa ilikuwa ngumu kupokea hizo fedha.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi