Monday, July 28, 2014

Gomesa Tv

Single bado anahofia heshima yake


MWIGIZAJI wa filamu nchini Single Mtambalike ‘Rich Richie’ amesema hawezi kutoa filamu kila mwezi kuhofia ‘kukopi’ filamu za watu na kusababisha kushuka kwa hadhi yake.


Aliimbia Bongo Unit alisema unaweza kumpa mtu kazi ya kuandika stori ili utengeneze filamu lakini bila ya kujua kama ameiba stori au kuibadili stori ya filamu nyingine.


Alisema hiyo ndio sababu inayopelekea filamu nyingi za kitanzania kufanana, jambo ambalo haitaji litokee kwake.


“Filamu yangu mpya itakuja kwa jina la Kalekwa, lakini bado kukamilika ndio nipo kwenye mikakati ya kuandika stori,” alisema.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi