Monday, July 28, 2014

Gomesa Tv

Haya ndio Mapya ya Asha Baraka Twanga PepetaBENDI ya Twanga Pepeta, inatarajia kufanya mambo mapya katika sikuu hii ya Idd kwa kuachia nyimbo zake mbili na kutambulisha wanenguaji wapya katika sikukuu ya Idd Mosi katika ukumbi wa Mango Gadern.

Akizungumza mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka, alisema nyimbo wanazotarajia kutambulisha siku hiyo ni Mapenzi yanaua uliotungwa na Haji Ramadhani na Ganda la Mua uliotungwa na Sarehe Kupaza.

Alisema pia kutakuwa na wanenguaji wa kiume na wakike ambao ni wapya, ambao nao watatambulishwa kwa wapenzi wa bendi hiyo katika msimu huo wa sikukuu.
Asha pia amesema atafanya matamasha mawili moja likiwa  Dar es salaam na Bagamoyo kwaajili ya mashabiki wa bendi ya Twanga.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi