Monday, July 28, 2014

Gomesa Tv

Ben Poul hofu katika UpendoBAADA ya kuachia wimbo wake mpya unaitwa Upendo, mwanamuziki Ben Poul anasema wimbo huo umekuwa ukikuwa umaarufu polepole sana tofauti na nyimbo nyingine jambo ambalo limekuwa likimpa hofu.

Ben Poul  alisema wimbo wake huo hauna tofauti na wimbo  Jikubali alioutoa zamani, kwajinsi unavyosua sua kukua kwake.

Alisema wimbo huo mwanzo ulivyotoka alijikuta akikata tamaa na kuamini hautafika popote, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo ulivyozidi kupanda juu na kuwa maarufu.

“Wimbo wangu wa Jikubali ulinikatisha tamaa, lakini sasa ndo naweza kusema wimbo uliokuwa na mafanikio mkubwa kuliko zote,” alisema.
Alisema hii inatokana na nyimbo zake, ni lazima mtu atulie na azisikilize kwa umakini.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi