Wednesday, January 8, 2014

Gomesa Tv

Maneno ya Diamond baada ya Number One RemixShukrani za dhati kabisa zinakuhusu
 wewe shabiki yangu wa kweli
kwa kuwa nami ,kunipa moyo na kunipa sapoti 
hatua zote ninazopiga na siku zote niliahid kuwa
zawadi pekee nitakayokuwa nakupa ni kazi
 nzuri zaidi jukwaani,videon na redion
hivyoi basi siku ya leo ndiyo siku niliyoichagua 
kukupa fursa ya kutazama video
yangu mpya (number 1 remix)niliyofanya nchini Nigeria na
mwanamziki wa Nigeria Davido
nina imani utaupokea na
Davido nina imani utaupokea kama ulivyofanya kwa
kazi zangu zote za nyuma.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi