Wednesday, January 15, 2014

Mohamed Gomesa

Diamond P Funk na Prof Jay kuja kivingine.

 
Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Plutnam, anatarajia kufanya kazi na wakongwe wa muziki wa kizazi kipya akiwa Prof Jay na P Funk. Na hivi ndivyo alivyosema..... 'Ninapopata Bahati ya kufanya
Nyimbo na wakubwa zangu ambao nilikuwa nikiwasikia tangu nawaza Nitoke vipi, hadi leo kupata Fursa kushiriki nao... Hunipa Faraja sana na moyo wa kujituma zaidi....Get ready Kwa hii kitu'

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi