Wednesday, January 15, 2014

Gomesa Tv

Bado kitandawili kutoka kwa Jackie Cliff Lupango


cliff 

Jackie Cliff  amepost picha hiyo hapo juu kwenye account yake ya instagram ambapo account hiyo haikuwa na new post tangu December 13 mwaka jana.

Caption ya picha hiyo haijasema chochote juu ya mambo yaliyosikika au mahali alipo.
Baada ya interview na AyoTV ambapo Juma Jux alisema kwamba Jackie Cliff yupo salama lakini sehemu alipo hata yeye haijui. hivi karibuni mrembo huyo alikwaa sikendo ya kukamatwa na madawa ya Kulevya, nchini China . Hata hivyo imebaki hali ya kutojua juu ya uwemo wake ulaina au bado yupo ndani maana vyanzo vingi havitoi maelezo ya kutosha juu ya kuwepo kwake.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi